Hahahahaahaaaaaaaaaaaaa! umenifurahisha sana wiyelele, inaonyesha lile tatizo la mkeo halijaisha na bado linakukera sanaaaaaaa! na umenifanya nicheke sana, yaani mwili kinondoni ila moyo na roho kimara Loh! angalia usije siku ukakosea ukataja jina la small house kwa mkeo, kikawaka zaidi.
Hahahahahhaaaamchele mmoja mapishi mbali mbali kuna kitumbua, pilau, wali mweupe n.k swala la radha uliangalie hapo
Amakweli mambo hadharani siku hizi afrodenzi unajuwa mwanzoni nilijua umekosea na utarudi kuedit...LoL...kumbe mie ndio nimekosea!!...Ivi tujiulize why all this? Kwamba hatuna akili kiasi hiki? au ninyi wenyewe mnapenda kudanganywa na ndio maana tunajitahidi kusema lolote ili tupate tunachohitaji?? Why? Why? why?
Kama njia hiyo ingekuwa inaprove failure si wanaume wangeiacha??
cc snowhite.
babu babu, acha uchonganishi, lol!Duuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhh,
Hapa ungekabidhiwa AK 47 basi tungeshuhudia genocide zaidi ya ile ya Kimbari....
Babu DC!!
Lisa, kiwili wili ni kama zigo tu, halina habari na mtu na wala haliongei tena. Kufuli lilishafungwa mdomoni limebaki linaangalia tu. Hivyo haliwezi kuthubutu kutaja jina la nyumba ndogo!
okay nirudi kwenye swali lako.
kuna wanaweke wengi ambao wako "Very low self- esteem"
ingawa wanatabasamu lakini kilicho moyoni Mungu anajua
na kuna sababu nyingi tu zinazofanya mwanamke kuwa kwenye hiyo situation
inaweza kuwa alipitia maisha magumu ya toto hata ukubwani "abuse"
aina fulani can be physical, mental, verbal,sexual, neglating, hate etc.
na akitokea mkaka ampe sifa fulani lazima atayeyuka tu ..
Nitaanza kufanya haya pia
Ina na dagaa tuwaonee huruma, watakosa soko ujue?
Wakati mwingine hapa ndipo napowahuria wanawake ...Poleni sana!!
umeona eeehhh!dagaaa wakatafute dagaa wenzaoo..
otherwise nikuleteana shombooo.
Hahahahaahahahaaaaaaaaaa! Loh! umenifanya nicheke kwa nguvu wakati niko ofisini , maana kama nakuona vile unavyoact kwa mkeo kuwa wewe mjinga kumbeeeeee! ushamaliza mambo yako huko nje zamaniiiiiiiiii! DuH! haya bwana.
umeona eeehhh!
kuna kipindi tulikuwa tunakaa na mmasai alikuwa mlinzi pale kwetu,
siku sijui alienda wapi akarudi na vitu anataka kujipikilisha, basi dada akamwashia jiko la mkaa ajipikilishe.
mapishi yakaanza..... nipo room nasikia harufu hata sizijui, sasa nawaza ni dada anapika? na anapika nini wakati anajua nikiwa nyumbani najipikilisha mwenyewe...... nikatoka kuchungulia.....
nikakuta sufuria kwa jiko kuna mhanganyiko wa kuku, nyama ng'ombe, samaki....... (hii ni serious si utani), nauliza kulikoni naambiwa ni mapishi ya Akwiii..... mwenyewe alishindwa kula......
samaki wapikwe na samaki wenzao....
kuku wajipikilishe kivyao..... lol!
Hilo tishio lilikuwa zaidi ya lile la G Bush Jr kwa Sadam Hussein......
Ila naamini hukumwambia kwamba umeshaanza mchakato wa kuwaonjesha...
Kwani sasa hivi angekuwa ni historia............
Men are soft kuliko kitu chochote ninachokijua.........
CC... Dena Amsi,
Babu DC!!
Hahahahahhaaaa
..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..
dahhhhh
hapo unaweza kupata "food poison"
saa nyingine hata samaki ukichanganya na samaki wengine ni balaa..
kama ni kambare tafata kambare,
kama ni dagaa tafuta dagaa
kama ni pweza hivyo hivyo pia.
Mi napenda niwe navyo vyote hivyo kwa mpigo