Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hahahahaahaaaaaaaaaaaaa! umenifurahisha sana wiyelele, inaonyesha lile tatizo la mkeo halijaisha na bado linakukera sanaaaaaaa! na umenifanya nicheke sana, yaani mwili kinondoni ila moyo na roho kimara Loh! angalia usije siku ukakosea ukataja jina la small house kwa mkeo, kikawaka zaidi.

Lisa, kiwili wili ni kama zigo tu, halina habari na mtu na wala haliongei tena. Kufuli lilishafungwa mdomoni limebaki linaangalia tu. Hivyo haliwezi kuthubutu kutaja jina la nyumba ndogo!
 
Amakweli mambo hadharani siku hizi afrodenzi unajuwa mwanzoni nilijua umekosea na utarudi kuedit...LoL...kumbe mie ndio nimekosea!!...Ivi tujiulize why all this? Kwamba hatuna akili kiasi hiki? au ninyi wenyewe mnapenda kudanganywa na ndio maana tunajitahidi kusema lolote ili tupate tunachohitaji?? Why? Why? why?

Kama njia hiyo ingekuwa inaprove failure si wanaume wangeiacha??

cc snowhite.

Kama nijuavyo ukifuatilia
Historia ya ma babu zetu miaka kadhaa iliyopita wanaume wa Kiafrika
walikuwa wanaoa wanawake wengi watakavyo ilimradi tu wawe na mali za kutosa..

muda ukaenda ukarudi, tukatawaliwa na mambo mengine mengi.

sasa imekuja karne hii..
magonjwa mengi , tuko kwenye mazingira tofauti kabisa na yale ya mwanzo.
& in top of that kuna dini zinaruhusu mke mmoja tu .

okay nirudi kwenye swali lako.
kuna wanaweke wengi ambao wako "Very low self- esteem"
ingawa wanatabasamu lakini kilicho moyoni Mungu anajua
na kuna sababu nyingi tu zinazofanya mwanamke kuwa kwenye hiyo situation
inaweza kuwa alipitia maisha magumu ya toto hata ukubwani "abuse"
aina fulani can be physical, mental, verbal,sexual, neglating, hate etc.

na akitokea mkaka ampe sifa fulani lazima atayeyuka tu ..

anyway nsiingie huko sana somo zito hilo..
ukiachia hayo mambo kuna wale "penda Pesa"
Ilimradi we wallet inaongea ye mapaja yameshaanza kupiga makofi.
 
Lisa, kiwili wili ni kama zigo tu, halina habari na mtu na wala haliongei tena. Kufuli lilishafungwa mdomoni limebaki linaangalia tu. Hivyo haliwezi kuthubutu kutaja jina la nyumba ndogo!

Hahahahaahahahaaaaaaaaaa! Loh! umenifanya nicheke kwa nguvu wakati niko ofisini , maana kama nakuona vile unavyoact kwa mkeo kuwa wewe mjinga kumbeeeeee! ushamaliza mambo yako huko nje zamaniiiiiiiiii! DuH! haya bwana.
 
okay nirudi kwenye swali lako.
kuna wanaweke wengi ambao wako "Very low self- esteem"
ingawa wanatabasamu lakini kilicho moyoni Mungu anajua
na kuna sababu nyingi tu zinazofanya mwanamke kuwa kwenye hiyo situation
inaweza kuwa alipitia maisha magumu ya toto hata ukubwani "abuse"
aina fulani can be physical, mental, verbal,sexual, neglating, hate etc.

na akitokea mkaka ampe sifa fulani lazima atayeyuka tu ..

Wakati mwingine hapa ndipo napowahuria wanawake ...Poleni sana!!
 
dagaaa wakatafute dagaa wenzaoo..
otherwise nikuleteana shombooo.
umeona eeehhh!
kuna kipindi tulikuwa tunakaa na mmasai alikuwa mlinzi pale kwetu,
siku sijui alienda wapi akarudi na vitu anataka kujipikilisha, basi dada akamwashia jiko la mkaa ajipikilishe.
mapishi yakaanza..... nipo room nasikia harufu hata sizijui, sasa nawaza ni dada anapika? na anapika nini wakati anajua nikiwa nyumbani najipikilisha mwenyewe...... nikatoka kuchungulia.....
nikakuta sufuria kwa jiko kuna mhanganyiko wa kuku, nyama ng'ombe, samaki....... (hii ni serious si utani), nauliza kulikoni naambiwa ni mapishi ya Akwiii..... mwenyewe alishindwa kula......
samaki wapikwe na samaki wenzao....
kuku wajipikilishe kivyao..... lol!
 
Tena Jamaaa anakuja shingo kaitupia kwenye bega umuone kakosewa sana,nazaidi anakwambia mwanamke yule hakuna anachokosa lakini time na mimi hana nikingia nyumbani yeye busy na cm na jamaa zake,weekend harusini chakula napikiwa na mfanya kazi yani ah tabu tupu,nyumba ndogo tena unajituma kupita maelezo,unataka kumshinda mwenzio kumbe wala sio kweli balaa lake tuu...
 
Hahahahaahahahaaaaaaaaaa! Loh! umenifanya nicheke kwa nguvu wakati niko ofisini , maana kama nakuona vile unavyoact kwa mkeo kuwa wewe mjinga kumbeeeeee! ushamaliza mambo yako huko nje zamaniiiiiiiiii! DuH! haya bwana.

Afadhali kama angekuwa anacheka kama wewe mbona angenipaisha juu! hahahaha
 
umeona eeehhh!
kuna kipindi tulikuwa tunakaa na mmasai alikuwa mlinzi pale kwetu,
siku sijui alienda wapi akarudi na vitu anataka kujipikilisha, basi dada akamwashia jiko la mkaa ajipikilishe.
mapishi yakaanza..... nipo room nasikia harufu hata sizijui, sasa nawaza ni dada anapika? na anapika nini wakati anajua nikiwa nyumbani najipikilisha mwenyewe...... nikatoka kuchungulia.....
nikakuta sufuria kwa jiko kuna mhanganyiko wa kuku, nyama ng'ombe, samaki....... (hii ni serious si utani), nauliza kulikoni naambiwa ni mapishi ya Akwiii..... mwenyewe alishindwa kula......
samaki wapikwe na samaki wenzao....
kuku wajipikilishe kivyao..... lol!

dahhhhh
hapo unaweza kupata "food poison"

saa nyingine hata samaki ukichanganya na samaki wengine ni balaa..

kama ni kambare tafata kambare,
kama ni dagaa tafuta dagaa
kama ni pweza hivyo hivyo pia.
 
Hilo tishio lilikuwa zaidi ya lile la G Bush Jr kwa Sadam Hussein......

Ila naamini hukumwambia kwamba umeshaanza mchakato wa kuwaonjesha...

Kwani sasa hivi angekuwa ni historia............

Men are soft kuliko kitu chochote ninachokijua.........

CC... Dena Amsi,

Babu DC!!

Bro, pamoja na yote hayo hiko ni kitu ambacho hakitatokea milele,pamoja na mapungufu/tatizo lililotokea, nampenda sana mume wangu, ni kila kitu kwangu,hakuna ninachokosa kwake, ntasema mie ni mtoto wake wa kwanza tukiachia mbali kitanda, ananiridhisha kwenye kila afanyalo kwangu(kuacha mapungufu coz kila mtu anayo) so kufika huko kwangu ni ndoto but kwa wakati ule alitakiwa ajue hayo.
 
Mi napenda niwe navyo vyote hivyo kwa mpigo

hahahahaahahha haya bana .

Furahia.

lakini angalia shark asije ku attack.
kuna shark wengine balaa, wakikuvuta majini.
ndi hivyo tena una busu dunia Kwaheri.
 
Back
Top Bottom