Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu


Maombi yanasaidia sana kiukweli Erick acha tu
 
he he heeeeeeeeeee, wewe unafikiria hiyo 90% yote watu hawana hofu ya Mungu?
vidumu vinapatikana huko huko kwenye hofu ya Mungu
Hahahahaaaa hiyo imani yenu ndio mbaya.... kwanini usiamini vidumu havipo?
Mbona inawezekana aisee?
 
 

Dena Amsi kuna lolote la zaidi katika uzi huu?
 
Last edited by a moderator:
Maombi yanasaidia sana kiukweli Erick acha tu
Yeah
Mungu alisema ni baba yupi akiombwa mkate na mwanae atampa jiwe? Ombeni nanyi mtapewa.
Sasa nakuhakikishia Dena Amsi ukiomba kwa imani Mungu hatakuacha peke yako...lazma atakusaidia na utashangaa mwenyewe.
Zidisha maombi nami nakuombea heri ndoa yako iwe na furaha na amani!
 
Last edited by a moderator:
kumbe inauma eeeh!
 
Hahahahaaaa hiyo imani yenu ndio mbaya.... kwanini usiamini vidumu havipo?
Mbona inawezekana aisee?
wewe ndo umesema 90% mna vidumu, mimi nilichoongezea tu kama 90% mna vidumu ina maana nyie wote 90% hamna hofu ya Mungu?
 
wewe ndo umesema 90% mna vidumu, mimi nilichoongezea tu kama 90% mna vidumu ina maana nyie wote 90% hamna hofu ya Mungu?
Ipo ila siunajua shetani nae yumo humo humo anavizia wafuasi
 
teh hivi si wewe shem uliniambia naniliu kuhusu mkeo? niseme? niweke ile pm hapa?

Pls pls Smile usiweke utaharibu mazima. Afu jioni tukutane tena pale pale pa siku zote. Lol
 
Last edited by a moderator:
Wanaume sijui hata ni nani aliyewaloga,
tena wakiwa wana do anamwambie 'nitukanie mke mwenzio'
hivi kweli huwa mnawaza nini?
Dena Amsi maisha ndivyo yalivyo, ukiyaendekeza utaugua tena,
mizigo mingine haibebeki kirahisi lakini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…