Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Unajua binafsi nimekuwa nikiangalia tabia za wanaume (Sio mimi) nimeona almost 90% wana vidumu au hata kama hawana wanavizia nje ya ndoa so ni vigumu kunambia kuwa wanaume ni waaminifu kwa asilimia kubwa....kwa mwanaume ambae hajamfuma mumewe na mtu au tetesi asijipe tumaini kuwa mumewe hana kidumu ni kuwa kajificha tu.
Hapa suala ni kushirikishana maombi ya familia na kuifanya familia iwe na hofu ya Mungu na kwa imani hiyo hizo dhambi zitapungua sana au kwisha kabisa!

Maombi yanasaidia sana kiukweli Erick acha tu
 
he he heeeeeeeeeee, wewe unafikiria hiyo 90% yote watu hawana hofu ya Mungu?
vidumu vinapatikana huko huko kwenye hofu ya Mungu
Hahahahaaaa hiyo imani yenu ndio mbaya.... kwanini usiamini vidumu havipo?
Mbona inawezekana aisee?
 
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]

Smile wewe nimechekaje kwenye hiyo bluu mama weeeee huyo kazidi "You made my day"
ndo maana nakwambia relax bora huyo wako anasisitiza uwepo wako,si unajua hawezi kukutaja kwa wema? wenzio wanapelekwa ahera kabisa.ahahaaaa wanaume bwana...khaaa!
 
Najiuliza.................

Ni kweli mpango wa kando a.k.a nyumba ndogo husaidia kupunguza stress za nyumbani kwako??

Kama si kweli mbona unakwenda kumsimulia mpango wa kando mambo/matatizo yako na mkeo???

Kama ni kweli mbona humuoi huyo mpango wa kando akawa mke mdogo/wa pili ili hizo stress za home uzimalizie bila kificho wajameni???

Najiuliza sana sipati majibu kwanini uende kumueleza matatizo/shida/ugomvi wako na mkeo huyu mwanamke wa nje tena unaomba akupunguzie stress?? Eeehhh??

Yaani unakutana na kimpango wa kando kinakujua kuliko eeeeehhhhh wajameni.......................

Najua Asprin Dark City Mr Rocky Erickb52 na wengineo mtanipa majibu NISAIDIENI TAFADHALI

Dena Amsi kuna lolote la zaidi katika uzi huu?
 
Last edited by a moderator:
Maombi yanasaidia sana kiukweli Erick acha tu
Yeah
Mungu alisema ni baba yupi akiombwa mkate na mwanae atampa jiwe? Ombeni nanyi mtapewa.
Sasa nakuhakikishia Dena Amsi ukiomba kwa imani Mungu hatakuacha peke yako...lazma atakusaidia na utashangaa mwenyewe.
Zidisha maombi nami nakuombea heri ndoa yako iwe na furaha na amani!
 
Last edited by a moderator:
Yan FP ukikamatika na mpango wa kando umekwisha mazima wala usidhani utasamehewa na mwanaume.
Hilo hakunaga best mpango wa kando ni kwa mwanaume tu kwenu NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Yan msamaha upo kwa vyote ila si kwa kukufuma na bwana mwingine....yan sijiulizi mara mbili tambaa zako na nisikuone tena tukutane mahakamani kwenye kugawana vitu.
kumbe inauma eeeh!
 
Hahahahaaaa hiyo imani yenu ndio mbaya.... kwanini usiamini vidumu havipo?
Mbona inawezekana aisee?
wewe ndo umesema 90% mna vidumu, mimi nilichoongezea tu kama 90% mna vidumu ina maana nyie wote 90% hamna hofu ya Mungu?
 
wewe ndo umesema 90% mna vidumu, mimi nilichoongezea tu kama 90% mna vidumu ina maana nyie wote 90% hamna hofu ya Mungu?
Ipo ila siunajua shetani nae yumo humo humo anavizia wafuasi
 
teh hivi si wewe shem uliniambia naniliu kuhusu mkeo? niseme? niweke ile pm hapa?

Pls pls Smile usiweke utaharibu mazima. Afu jioni tukutane tena pale pale pa siku zote. Lol
 
Last edited by a moderator:
Wanaume sijui hata ni nani aliyewaloga,
tena wakiwa wana do anamwambie 'nitukanie mke mwenzio'
hivi kweli huwa mnawaza nini?
Dena Amsi maisha ndivyo yalivyo, ukiyaendekeza utaugua tena,
mizigo mingine haibebeki kirahisi lakini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom