Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]

Hiyo hapo kwenye bluu ni kweli na yametokea, na huyo mbaba akaoa mke wa pili , wakazaa mtoto mmoja, ndipo ilipogundulika mkewe yupo hai, lakini yeye alimwambie yule mwanamke kuwa mkewe kafa siku nyingi.
 
Erickb52 kwani ni uongo,
au niseme na mengine mnayosema huko kwenye hivyo vichaka vyenu.
Mi sikatai ila nawewe ni mwizi mwenzetu tena wewe ndio unatusababishia sisi kuiba.
Lol Kwa kawaida Mamndenyi kwenye kula mautamu kusema mambo mengi yasiyo na tija ni kawaida tu siunajua akili huwa zinahama kwa raha ndani ya ubongo.
Hivyo hata tukisema ni sawa tu ila mambo yakimwagika tu network inarudi full hakuna tena matusi.
 
Last edited by a moderator:
i'm neither the right age nor orientation to discuss actively kwenye huu uzi 🙁. napita tuu kupata points for future reference :becky: :target:
 
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]

Hiyo hapo kwenye bluu ni kweli na yametokea, na huyo mbaba akaoa mke wa pili , wakazaa mtoto mmoja, ndipo ilipogundulika mkewe yupo hai, lakini yeye alimwambie yule mwanamke kuwa mkewe kafa siku nyingi.
mbona signature yako imekaa kimbea hivo shostisho?
 
wanadhani kuongea ongea ndo malovee! kelele miiingi output ziro kazi kulialia kama mbuzi
Weewweeeee
Halafu unatuchokoza Smile
Tena nyie ndio huwa mnalialia tu bila hata sababi hadi stim zinatukatika ukizingatia nyumba ni chumba kimoja na nje kuwa watu wanapika lol balaa tupu
 
Last edited by a moderator:
Acheni kujidanganya nyie wanawake! Mi ninauzoefu sana na hizi nyumba ndogo na zinasaidia sana! Kuna mambo mengi hamyajui. Mwanamke ukiolewa unabweteka na hufundishiki kabisa. Unaziba maskio hata chakula cha mmeo unashindwa kupika, japo kukionja kabla hajala. Kwanini nisiwe na NN? Pia majibu mtu unajijibia tu kama mme ni mtu mwezako bila kujua kwamba ni kichwa cha pentagon.... Sasa kule kwenye nyumba ndogo kuna unyenyekevu wa hali ya juu sana! Kama ni kuhamia mi nilihamisha roho, kule home kunalala kiwiliwili tu!
 
ila wanaume wengi ndo zenu,hata mkitongoza tu mnaponda wake zenu .oooh sijui nilimuoa wa nini? oooh nililazimishwa na wazazi...oooh nilikuwa mdogo ptuuuuuuu! mi waume za watu ptuuuu wazushi sana

Na wewe ukiambiwa hivyo unaona umefika....wewe ndio wewe na dunia ni yako...Ndio... Hakuna kama wewe.... Ndio....hiyo strategy ingelikuwa haizai matunda wangelikuwa hawaitumii lakini kwasababu mnakubali kudanganywa ndio maana wanaitumia....
 
Erickb52 ujue na mkeo siku akifanya nje anaambiwa hivyo hivyo 'ntukanie mumeo' halafu inanoga kama nini hii.

Mi sikatai ila nawewe ni mwizi mwenzetu tena wewe ndio unatusababishia sisi kuiba.
Lol Kwa kawaida Mamndenyi kwenye kula mautamu kusema mambo mengi yasiyo na tija ni kawaida tu siunajua akili huwa zinahama kwa raha ndani ya ubongo.
Hivyo hata tukisema ni sawa tu ila mambo yakimwagika tu network inarudi full hakuna tena matusi.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 ujue na mkeo siku akifanya nje anaambiwa hivyo hivyo 'ntukanie mumeo' halafu inanoga kama nini hii.
Hahahaa cha msingi nisijue tu Mamndenyi
Kuibiwa sawa ila nikijua tu ndo balaa
Yeye aibe na ahakikishe sijui kama nanii yangu imesuguliwa na mwingine ooooh
 
Last edited by a moderator:
Acheni kujidanganya nyie wanawake! Mi ninauzoefu sana na hizi nyumba ndogo na zinasaidia sana! Kuna mambo mengi hamyajui. Mwanamke ukiolewa unabweteka na hufundishiki kabisa. Unaziba maskio hata chakula cha mmeo unashindwa kupika, japo kukionja kabla hajala. Kwanini nisiwe na NN? Pia majibu mtu unajijibia tu kama mme ni mtu mwezako bila kujua kwamba ni kichwa cha pentagon.... Sasa kule kwenye nyumba ndogo kuna unyenyekevu wa hali ya juu sana! Kama ni kuhamia mi nilihamisha roho, kule home kunalala kiwiliwili tu!
leo wanaume wanafunguka tu hapa so mkeo upo nae kiroho au kimwili? khaaa wapi kubwa la maadui lara 1
 
Last edited by a moderator:
Weewweeeee
Halafu unatuchokoza Smile
Tena nyie ndio huwa mnalialia tu bila hata sababi hadi stim zinatukatika ukizingatia nyumba ni chumba kimoja na nje kuwa watu wanapika lol balaa tupu
acha tu ninyamaze mi bikra kwanza
 
Back
Top Bottom