Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

mchaga na mapenzi wapi na wapi,atakwambia nitukanie hata mamamkwe!
Smile, Smile , Smile Sasa naona umetuchoka, mpk umeamua kututukania waume zetu kuwa hawajui kitu, Khaaaaaaaaa! haki ya Mungu ugomvi huu mpk babu Asprin aje aamue, inakuwaje atukane utamu wangu, haiwezekani.
 
acha tu ninyamaze mi bikra kwanza
Hahahahaa hivi bikra yako huwa inatoka na kurudi tena Smile ?
Hebu uje niitoe uone kama itarudi tena hao huwa wanaitoa kwa kidole cha mwisho nahisi
 
Last edited by a moderator:
Mkirua kuna bwana mdogo Erickb52 anadate naye atarudi na jibu sahihi hapa hapa.

Mkuu Mamndenyi, tatizo la huyu dada yetu Smile anaishi maisha ya kukariri bado....babu alikuwa hivi...baba yuko vile ...Mjukuu naye atakuwa vile...Si kweli.....Ni maisha ya dhahania yaliyopitwa na nyakati.
 
Last edited by a moderator:
Smile, Smile , Smile Sasa naona umetuchoka, mpk umeamua kututukania waume zetu kuwa hawajui kitu, Khaaaaaaaaa! haki ya Mungu ugomvi huu mpk babu Asprin aje aamue, inakuwaje atukane utamu wangu, haiwezekani.
toka nje ya moshi uone vitu ,watu wanafaidiii ohoooo! njoo mitaa ya kati huku
 
Unaona eeh

Kama huna kifua bora kuachana na mipango ya kando

Ukute ishakupa mechi ya nguvu, unajikuta ushaanza kudeka deka, mara siri zote hazarani
Na ndio huwa hivyo eti wanajuaga wakiponda ya wenzao ndio wanaonesha mapenzi kwa nyumba ndogo lol ujinga mtupu
 
back to topic Dena Amsi mpe mumeo utamu wa kutosha atulizane
anachopewa kwa small house mpe nyumbani, atatulia naturally,hii vita sio ya ngumi na kununa..mpe mpe
i will be back shortly!
 
Back
Top Bottom