Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Ujinga tupu
Hata nyumba ndogo zimestuka, ukiponda kubwa ina maana hata yenyewe waiponda kwa ile ndogo zaidi
Inakula kona
Hata nyumba ndogo zimestuka, ukiponda kubwa ina maana hata yenyewe waiponda kwa ile ndogo zaidi
Inakula kona
Na ndio huwa hivyo eti wanajuaga wakiponda ya wenzao ndio wanaonesha mapenzi kwa nyumba ndogo lol ujinga mtupu