Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Sasa mpango wa kando ne, si atakua mke?? huyo mme atakuwa na wake wawili, hatakuwa mpango wa kando tena na itabidi utafute mpango wa kando mwinginewa.

Kuhusu kueleza vitu kwa mpango wa kando ni kawaida, mtu uliye karibu naye lazima atakujua tu
Hasa unapokuwa na duku duku unatafuta wa kushare naye aliyekaribu na hapo unakuta mtu yuko karibu na mpango wake wa kando.

Ndo maana mke wa rais ni rais maana anajua siri nyingi mno za nchi ambazo hana haja ya kuzijua, hata vimada wa wakuu wanajua mengi sababu ubinadamu ni ubinadamu tu, ni kawaida kutafuta pa kushushia pumzi.
 
Sawa kabisa Kongosho
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Wanaume sijui hata ni nani aliyewaloga,
tena wakiwa wana do anamwambie 'nitukanie mke mwenzio'
hivi kweli huwa mnawaza nini?
Dena Amsi maisha ndivyo yalivyo, ukiyaendekeza utaugua tena,
mizigo mingine haibebeki kirahisi lakini.
Sasa Mamndenyi nawewe ushaiba mume wa mtu....umejuaje huwa wanasema nitukanie mke mwenzio kama si wewe ulikuwa unaDO na mume wa mtu?
Mulika Mwiiiiizi!
 
ahaaaaa kwi kwi kwi ..mamamdogo umeua? hawa ni wachaga hawa . Asprin huyu ,tukana mke mwenzio,tukanaaa,tukanaaa, zake tukanaa,mbuziiiii
 
Last edited by a moderator:
Kuoa siku hizi ni kama kutimiza wajibu tuu...Linapokuja suala la kupunguza stress lazima nyumba ndogo iwepo...

Tatizo ndoa siku hizi zimekua kama bidhaa sokoni, matangazo ya biashara yamekua mengi na hasa packaging....Unaweza nunua kitu kumbe kizuri kwa nje ukishakaa nacho siku mbili tatu ndio unagundua ulibugi men....
Na ndio maana hutafutwa altenative ya kukidhi hayo mapungufu...

Kimsingi wanawake wengi wa siku hizi huwaza kuolewa tu na si namna ya kuishi kwenye ndoa...akishaolewa kamaliza ...yale mambo ya zamani aliyokua nayo huwa hawayaendelezi na ndio maana tunatafutaga nyumba ndogo ku supplement mapungufu....
Hawa nyumba ndogo hatuwaoi kwa sababu nao wakishaingia ndani huwa kama nyumba kubwa, hujisahau kwa hiyo ni bora abaki kule kule ili ku maintain status yake.....

Uzuri wa nyumba ndogo haina kiapo wala hakuna mkataba wa kuzaa watoto na hata ikitokea basi huwa ni ajali kazini...so hakuna kung'ang'aniana...akiniboa nasepa nangalia who is next around tofauti na hiyo nyumba kubwa mpaka wazee watakaa vikao....
 
Copy kwa FP Smile
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa kwi kwi kwi ..mamamdogo umeua? hawa ni wachaga hawa . Asprin huyu ,tukana mke mwenzio,tukanaaa,tukanaaa, zake tukanaa,mbuziiiii

Smile umegida cha wapi leo malawi, arusha, musoma au dodoma?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwani ni uongo,
au niseme na mengine mnayosema huko kwenye hivyo vichaka vyenu.

Sasa Mamndenyi nawewe ushaiba mume wa mtu....umejuaje huwa wanasema nitukanie mke mwenzio kama si wewe ulikuwa unaDO na mume wa mtu?
Mulika Mwiiiiizi!
 
Last edited by a moderator:
Smile si unaone eeh,
halafu wanatukana kweli kweli eti ndo inanogesha.

ahaaaaa kwi kwi kwi ..mamamdogo umeua? hawa ni wachaga hawa . Asprin huyu ,tukana mke mwenzio,tukanaaa,tukanaaa, zake tukanaa,mbuziiiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…