Wazazi wanakariri, watoto wanakariri. Loh.Wamekaririshwa
Hapa nakuelewa mkuu, kumbe ndo maana wanang'ang'ania kusomesha watoto , loh. Sikuhizi wenye pesa ndo wanasikilizwa[emoji3]. Siyo wenye elimu. Ndo maana ukiwa una degree lako afu huna pesa hamna mtu anakusikiliza. Ndo maana mtu akimaliza chuo afu asiwe na pesa anaona nyumbani siyo mahala salama, anadharaulika na elimu yake.Primitive..
Enzi Zao Mwenye Elimu Anaheshimiwa Zaidi Ya Mwenye Pesa..
Hawajui Dunia Imebadilika..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uaminifu,wazazi wachache sana wanawaamini watoto wao. Tangu primary hadi chuo unakuta kijana hajawahi pewa pesa cash akalipe ada either shule au bank[emoji23][emoji23][emoji23]sembuse kukupa pesa mtaji wa biashara ngumu sana