Hivi ni kwanini mzazi yupo radhi akusomeshe mpaka PhD lakini asikupe mtaji wa kufanya biashara?

Hivi ni kwanini mzazi yupo radhi akusomeshe mpaka PhD lakini asikupe mtaji wa kufanya biashara?

Wazazi wengi hali za maisha ni kawaida
Akupe labda 20mil ufilisike anapatawapi nyingine kukuboost urudi kwenye mstari
Hivyo anaona bora upate elimu unaweza ajiriwa ukapata na mtaji kupitia ajira
Ok ko issue Ni kwamba anawaza ukifilisika, pesa itakuwa Kama imepotea ,ook hapo nakupata.
 
Unakuta mzazi anakwambia, "Mimi nitakusomesha mpaka pale utakaposema basi" lakini kukupa mtaji heh utasubiri sana.

Mzazi atajitutumua hata Kkma ada ni kubwa atailipa hivyo hivyo. Unaweza mwambia mzee, hiyo pesa badala ya kunipeleka Feza Schools, unaonaje upatie nifungue biashara? Atagoma, atakwambia mimi kazi yangu ni kukusomesha.

Siri ni nini? Kwa nini ipo hivyo? Kwanini huwa wanagoma?

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Mbali ya elimu biashara nayo yataka pia uwe na passion nayo.
 
What about we put it this way.

Elimu tunayosoma sio practical in nature jambo linalopelekea tunahitimu na taaluma za makaratasi ambazo kwa vitendo tunashi ndwa kuzitumikia.
Basi huenda mzazi anakuwa hajakosea Ila Ni kwamba elimu yetu haiko vizuri. I get you.
 
Ukiwa na elimu hata kama biashara itakwama elimu itakusaidia,lakini ukipewa mtaji na biashara ikikata na huna elimu ndio imekula kwako hiyo...
 
Na ukweli ni kwamba matajiri wengi kama siyo wote waliikimbia hiyo elimu ya darasani

wakaifuata elimu ya field (kutenda)
 
Tunavyojitahidi kujinyima ili nyinyi mupate elimu halafu ndiyo fadhila zenu hizi!

Ati tuwapatie mtaji badala ya elimu, hiyo mumesikia wapi? Halafu mutakuja kutusema hatukuwasomesha tumewawacha maisha yamewaharibikia.

Hamuna kheri kabisa nyinyi vijana. Mtaji tafuteni wenyewe mujiendeleze
 
Ok ko issue Ni kwamba anawaza ukifilisika, pesa itakuwa Kama imepotea ,ook hapo nakupata.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Biz hapa bongo urasimu mwingi kama ndio inaanza
Ndio maana hata matajiri mara nyingi wanawapa watoto waendeleze biashara na kama itakuwa ndio wanawaongezea mitaji
 
Ukiwa na elimu hata kama biashara itakwama elimu itakusaidia,lakini ukipewa mtaji na biashara ikikata na huna elimu ndio imekula kwako hiyo...
Oooh I get you, Kuna moja ukiwekeza , then Incase ukapoteza umepoteza mazima. You will have nothing left. [emoji106]
 
Mkuu

Hapo mbeleni mambo yatabadilika!

BINAFSI nimeachana na kasumba ya kulipa .a ada kubwa
Ekubwa kwenye Elimu zisizolipa!!

Maliza fom four nenda kozi makini jiajiri!
Elim ya Bongo hailipi!
 
Mkuu

Hapo mbeleni mambo yatabadilika!

BINAFSI nimeachana na kasumba ya kulipa .a ada kubwa
Ekubwa kwenye Elimu zisizolipa!!

Maliza fom four nenda kozi makini jiajiri!
Elim ya Bongo hailipi!
Unakuta ada uliyomlipia kwa hii mishahara ya laki Saba na nusu inachukua miaka 20 Ela yote kuja kurudi [emoji3]. Au mpaka anakufa hela haijawahi Rudi . Doh.
 
Back
Top Bottom