The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa.
Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa Wamasai wanaondolewa Ngorongoro. Baada ya mbinu ya kuwahamishia Msomela, Tanga kushindikana sasa wameamua kuvifuta vijiji vyao na kuwanyima huduma za kiafya na kijamii. Seriously? Wawahamishe wanyama wawapeleke Burigi (JOKE)!
Wakati Wamasai wanahangaika, viongozi wa Kitaifa wameendelea na shughuli zao kama kawaida as if hawajali kinachoendelea huko Ngorongoro. Maza yeye kaamua kwenda kwao Kizimkazi kujipumzisha.
Tukumbuke kuwa, Wamasai ni raia kama raia wengine.