Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

Muda sio mrefu tutasikia mgogoro wa Wafugaji (Maasai) na Wakulima (Wazigua) huko Msomera.
 
DP WELD
 
Ukishakula rushwa ya mtu, huwezi kuwa na uhuru. Ni lazima utende kama mtoa rushwa anavyotaka. Mahali tulipofikia, hawa watoa rushwa wa kimataifa wakitaka hata watu wauawe, watawala wetu watatekeleza.

Hao waliotangulia, japo walikuwa na kasoro zao, lakini hawakuwahi kuwa watawala mamluki wa waporaji wa rasilimali za nchi, wa kimataifa.
 
Hao wamekula hela ya mungu wao muarabu....ila watainya hio hela
 
Ingekua nchi km za ulaya undercover journalist washaingi kazini.
 
Ingekua nchi km za ulaya undercover journalist washaingi kazini.

Tatizo, Bongo yetu ni Small North Korea au Rusia. Mashushu mpaka makanisani.

Hawachelewi kukustukia na kukumaliza
 
Tatizo, Bongo yetu ni Small North Korea au Rusia. Mashushu mpaka makanisani.

Hawachelewi kukustukia na kukumaliza
Hapana undercover wana mipenyo yao na docunentary inatolewa after 1year inaaachiwa hapo lazima watatftane..
 
Hapana undercover wana mipenyo yao na docunentary inatolewa after 1year inaaachiwa hapo lazima watatftane..

That will be nice.

Kwa kweli naanza na kukbaliana na Lissu kuwa huyu Mama anatufanyia mambo mabaya sana.
 
Kwa kifupi Hawa vyura viziwi tayari wamekula hela ya Mwarabu. Maamae zao.
 
Hatua ya 1: Tengeneza tatizo.

Hatua ya 2: Jitenge na hilo tatizo.

Hatua ya 3: Jifanye unaguswa na tatizo ulilolitengeneza.

Hatua ya 4: Tatua hilo tatizo katika namna inayofanikisha malengo yako.

Hatua ya 4: Hakikisha unapongezwa kwa juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…