Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Mkuu hua unawazaga mbali sana.
Mkuu haitajiki kusomea kama doctor. Tukiitana madoctor hapo tutakua ndo tumekosea
 
Mambo vipi MKUU nimefurahi kukuona MKUU mimi sina mengi MKUU nimependa kukusalimu tu MKUU, kumbe unakujaga Mitaa hii MKUU haya asubuhi njema MKUU.

Poa na sijambo kabisaa mkuu!!!
 
Hahahahaha. Mmenichekesha sana wakuu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
maswali mengine hayana majibu mkuu...
 
Bora kukuita mkuu halafu ukawa mdogo. Nikikuita mdogo halafu nikakuta ni mkuu nitafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…