Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hata wadada wanaitwa 'wakuu'?
Nikwambie MKUU kwakweli nimefurahi sana mkuu. Kwakweli nimeamini ukiwa humu kila mtu ni mkuu.poapoa asubuhi njema mkuu
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Mkuu hata mimi sifahamu
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Mambo vipi MKUU nimefurahi kukuona MKUU mimi sina mengi MKUU nimependa kukusalimu tu MKUU, kumbe unakujaga Mitaa hii MKUU haya asubuhi njema MKUU.
Malizia na NDU lilete maana kamili
Sote wakuu ila kuna WAKULU waliopitiliza ktk Ukuu
mkuu hata mm sijamuelewa kabisaa!unamaana gani mkuu
Kweli mkuu!Hii ndio itakuwa thread ya kwanza humu ndani kuwa na neno ''mkuu'' kuliko zote jf.
Twaweza endelea wakuu.
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
maswali mengine hayana majibu mkuu...Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.