Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Mkuu hua unawazaga mbali sana.
Mkuu haitajiki kusomea kama doctor. Tukiitana madoctor hapo tutakua ndo tumekosea
 
Hahahahaha. Mmenichekesha sana wakuu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
maswali mengine hayana majibu mkuu...
 
Bora kukuita mkuu halafu ukawa mdogo. Nikikuita mdogo halafu nikakuta ni mkuu nitafanyeje?
 
Back
Top Bottom