Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Kweli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyanigabu @figaniga Secret Service nk
Kwa hiyo????
Mkuu, wengi wao ndio makuruta wa Lumumba. Hawana adabu kabisa.
ni kweli Mkuuwakuu nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyanigabu @figaniga Secret Service nk
Ni kweli mkuu, hivi unaweza kumuita Ifweero au Lizibon au Ruttashobolwa, Msalani n.k mkuu? Unaweza kumuita hivyo mtu ambaye anaonyesha ana busara sio hawa wasema ovyo.
Tiba