Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu nandembako,hilo neno maana yake ni kiongoz Wa wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno Mkuu sielewi basi wekeni majina kamili na picha ili ueleweke. Hata kama ukitoa pumba tujue ni za nani na tutamkosoaje. Kwa wale wenye matusi unaweza hata kutukana baba au mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu nyie ni wahenga!

brain is the beautiful part of the body.
 
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?

Mkuu Swala la Kuitana Wakuu ni swala Ambalo lahitaji Tukufafanulie Mkuu
Unajua Mkuu jambo hili lina Muda Mkuu lakini Mkuu usijali nikipata Muda Ntakufafanulia Vizuri Mkuu
 
Kila mmoja anamwita mwenzake Mkuu.... Ni jina lililokubalika sana kwa bahati mbaya simjui mwanzilishi maana anastahili pongezi.😵😵😵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…