mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
Ni baada ya Kinana kukataa tusiitane Waheshimiwa.....ndio tuka-opt hii ya Mkuu
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
hatuwezi kupata ukuu anaotafuta Lowasa etc, hivyo heri kujipachika tu
Hili ndilo jibu sahihi, hivyo thread ifungwe.
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
Kwa sababu hatujuani jinsia. Kama wewe mtoa mada nikuite kaka ama dada?