Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu,hii ni ktk kuthamini mchango wa kila mchangia au mtoa mada na kuheshimiana pia
 
Wakuu,
yaan najiuliza ni nani aliyeanzisha kutumia neno hili hapa Jf. Yaani linasuit ile kwa sana kuliko kumuadress mtu kwa id yake, it was very creative of that person. Japo hata mtu akijiunga Jf leo bado tutamuita mkuu (ukuu wake upo wapi sasa?) Haha, just messing with y'all. Nawatakia mchana mwema!
 
Nilianzisha mimi , na nimefikia kuona nataka niliwekee hakimilimiki , naendelea michakato na wanasheria wangu .
Vinginevyo nawezapiga prohibit lisitumike hapa Jf .
Sema machache
 
Nilianzisha mimi , na nimefikia kuona nataka niliwekee hakimilimiki , naendelea michakato na wanasheria wangu .
Vinginevyo nawezapiga prohibit lisitumike hapa Jf .
Sema machache
aisee hongera mkuu kweli inabidi uwe na patent rights
 
mkuu donlucchese mambo Vipi? keki ya mahafali umelala pekee yako ....
 
Last edited by a moderator:
tungeitana madogo au dogo. sawa dogo. kingenuka umu ndani bora ata mkuu
 
hehehe lilianzishwa na wakuu fulani hivi wa enzi hizo...
 
Kule forum ya Tech hili jina ndo linatumika effectively, kwa sababu hakuna kuuumbuana kama wana siasa zaidi ya kuombana maujanja ya technologia

Thanks kwa Mkuu paje na IDM yake plus TG

Thanks kwa mkuu njunwa mavoko na Mwl wazee wa PD Proxy


hahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom