donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Ni kwa jinsia zote mkuu ndio uzuri wake au unaonaje mkuu?Asante mkuu kwa kwa kuuliza hili hata mi nilishangaa mtu ananipm habari yako mkuu khaaa
Hivi linatumika kwa jinsia zote au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa jinsia zote mkuu ndio uzuri wake au unaonaje mkuu?Asante mkuu kwa kwa kuuliza hili hata mi nilishangaa mtu ananipm habari yako mkuu khaaa
Hivi linatumika kwa jinsia zote au
Ni kwa jinsia zote mkuu ndio uzuri wake au unaonaje mkuu?
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Labda mkuu ungetueleza shida gani unapata katika hilo neno tungepata pakuanzia kujadili.
Lakini mkuu si huwa wanapata wanachostahili aka BAN,usihofu kuitwa hivyo MkuuTatizo lipo utakuta kuna member humu wao ni matusi kwenda mbele lakini nao wanapewa hiyo hadhi ya mkuu.