Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Watanzania tumestaarabika kuitana mkuu au kiongozi hoi inaonyesha kiasi gani tunathaminiana na kuheshimiana na kujaliana utu wetu. Tunaitana mkuu au kiongozi bila kujali dini,kabila,itikadi za vyama au rangi. Luna hekima na busara kuitana mkuu,kiongozi au jembe.
 
yaani kuanzia 2011 ni kipindi kidogo kweli,
wote huku tuna vyeo serikalini na kwenye chama
hivyo ndo maana wote ni ....wakuu....
 
Mkuu watu wanapenda kutukuzwa....!ndio hivyo Mkuu.
 
kama jf ni nchi basi mi ni mkuu wa wilaya ya chitchat
 
mkuu mbona hii ipo tangu zamani? jaribu kuanga thread za 2006. zamani tulikua tunaitana wakuu. ukishajiunga jf unapata cheo cha mkuu na uliyemkuta anakua ni mkuu pia. mia

Hivi mkuu...,kwanini kwny post yako lazima uweke signature ya mia...
 
mkuu mbona hii ipo tangu zamani? jaribu kuanga thread za 2006. zamani tulikua tunaitana wakuu. ukishajiunga jf unapata cheo cha mkuu na uliyemkuta anakua ni mkuu pia. mia

Uko sahihi mkuu.
Mia
 
Mimi hata wife tunaitana hivyohivyo! Unadhani hatuko sahihi ?
 
Back
Top Bottom