Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu nduneno linalotumika sana humu. Yan nikama heshima flani hvi
 
Toka nije JF nimeona wtu wengi wanaitwa wakuu na mimi nikanogewa kutumia hou msamiati. Hivi ni kweli kila anayeitwa mkuu ni mkuu?Huku kwetu mkuu ni mama mkubwa.

Je wewe ni MKUU?

Unatokea Tanga?
 
Mkuu labda wewe ulikuwa unasuggest tutumie neno gani mbadala la mkuu!?
 
Back
Top Bottom