Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Wewe upo wapi mkuu. Nipo magomeni mimi
Nipo chumbageni, karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upo wapi mkuu. Nipo magomeni mimi
Nipo chumbageni, karibu
Wewe ni madam au mkuu?
Toka nije JF nimeona wtu wengi wanaitwa wakuu na mimi nikanogewa kutumia hou msamiati. Hivi ni kweli kila anayeitwa mkuu ni mkuu?Huku kwetu mkuu ni mama mkubwa.
Je wewe ni MKUU?
Mkuu wapenda raha. Hongera kwa kuopoa jiko huku. "Love City"
Loll,nafaidi haswaa
Mkuu Mambo....??++
Mkuu Mambo....??++
Poa mkuu,kwema?
Mkuu nduneno linalotumika sana humu. Yan nikama heshima flani hvi
Sawa mkuu. Source of heat in the laboratory..
Sawa Lab technician
Nipo chumbageni, karibu
Namie nitakuja mkuu...
Mkuu unapajua huku. ? Karibu kibarazani tule halua..... Na juisi ya tende.