AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,697
Mkuu itabidi uwe mwenyeji wangu huko
Tanga raha weye... Karibu tuuu. "Love City" waja leo waondoka mwakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu itabidi uwe mwenyeji wangu huko
Tanga raha weye... Karibu tuuu. "Love City" waja leo waondoka mwakani.
Powa, ukiwa hapo nambie
hamna tatzo mkuu tunaenda sambamba
Vp ukitwa chief!Duu hili kweli tatizo
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah