Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah

kalambwe kalio sasa ili upunguze io anger
 
Last edited by a moderator:
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah

Mhhhhh!Sasa unataka tukuite nani mkuu?
Sio vizuri kutoa malalamiko tu bila kuwa na njia mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Na wewe unapowaita wengine 'mkuu', ukuu wao unatokana na nini kwani umesema kila mtu ufanya hivyo na wewe ni member hivyo na wewe utumia neno hilo? Halafu na wewe ukiitwa 'mkuu', je ukuu huo unatokana na nini kwa mtazamo wako?
 
Mkuu, ni heshima tu mkuu. Hili jukwaa ni la usawa. Hakuna cha Tajiri wala masikini. Hakuna mdogo wala mkubwa.
 
Hili neno huwa linapendeza sana kulitumia humu, hasa ukizingatia hatujuani jinsi zetu. Japo kuna maneno mengine yanaweza tumika kama mdau, mheshimiwa, n.k kwa nini hili ndo mnapendeleaaaaaaaaa
 
Mkuu usujali, ngoja wakuu waje wakupe majibu stahiki mkuu.
 
Mkuu anataka kuwasikia wakuu wenzake wanasemaje, haya mkuu ngoja wakuu waje
 
Hili neno huwa linapendeza sana kulitumia humu, hasa ukizingatia hatujuani jinsi zetu. Japo kuna maneno mengine yanaweza tumika kama mdau, mheshimiwa, n.k kwa nini hili ndo mnapendeleaaaaaaaaa
Kwa lugha za kigeni huitwa "THE BOSS, YAA SHEIKH, au CHIFU.., au DOCTA..""@!! Nikuheshimiana ki protokoli...
 
Back
Top Bottom