Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wote ni wakuu,Kwa sababu wote ni wakuu humu mkuu.
Naomba kufahamu ni kwa nini umemalizia swali lako kwa neno "wakuu".Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Mkuu Umewahi kusoma kitabu cha Allan Quarteman?Nimekua msomaji mzuri wa comments za watu hapa JF, tusaidizane hili. Hivi ni kwanini JF watu huitana MKUU hasa wakati wa kuchangia kwenye threads?
Kama wewe tukuite CharmiltonMkuu wewe ulitaka tuitane vipi?
Hapana Mkuu, kinamaudhui gani? ili nikitafute nikisimeMkuu Umewahi kusoma kitabu cha Allan Quarteman?
Ahsante kwa jibu zuri KiongoziNdio neno pendwa lenye mvuto wa pekee na lenye kuonyesha heshima kati ya member na member, hata kama pana tokea minyukano na tofauti za kihoja.... Pale mmoja anapo muita mwingine mkuu, tayari hushusha munkari na kulainisha ukali wa tofauti za wahusika.
Ngoja wengine waje wakujibu
Utaona namna neno mkuu lilivyopewa heshima kubwa, Kuna mtu aliitwa mkuu mara 3 kwenye salaam ya kukutana.Hapana Mkuu, kinamaudhui gani? ili nikitafute nikisime