Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Naomba kujua hili.

Wanawapelekesha ,

Wanawatumikisha

Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.

Hata dada mweupe watu wanamuhanya.

Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
 
Wengi wanachukulia uzungu kama ndio maisha na kila mzungu ana pesa au yupo bora kwa kiasi flani. Na hii tulaumu na hizi historia tunazofundishwa darasani maana zinatutengeneza kujiona kama victims au wanyonge flani hivi na wao kama ndo wenye akili na ubora zaidi
 
Sio kosa lao,ni Historia tu ya utumwa na ukoloni.

Mtu akikutawala always utamuona ni bora zaidi yako.

Mbaya zaidi hawa Watu weupe wanajua kwamba Watu weusi wanawagwaya,na wanacapitalize hasa kwenye huo udhaifu.

Dada zetu wamekubuhu unyonge kwa Watu weupe.

Mimi nikikutana nao huwa nawapa wanachostahili.

Mtu mweupe akiingia anga zangu lazima "nimpige".
 
Naomba kujua hili.

Wanawapelekesha ,

Wanawatumikisha

Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini , yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana .

Hata dada mweupe watu wanamuhanya .

Huwa shida nini?? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho .

"Baadhi" Naomba unitake radhi mimi. Mtu pekee nayemwogopa ni Putin.
 
wazungu wametutangulia kwa kila kitu, kibaya na kizuri. Wana kitu "utiisho" mbele za mtu mweusi. it is something natural!

YESU NI BWANA & MWOKOZI
 
Sio kosa lao,ni Historia tu ya utumwa na ukoloni.
Mtu akikutawala always utamuona ni bora zaidi yako.
Mbaya zaidi hawa Watu weupe wanajua kwamba Watu weusi wanawagwaya,na wanacapitalize hasa kwenye huo udhaifu.
Dada zetu wamekubuhu unyonge kwa Watu weupe.
Mimi nikikutana nao huwa nawapa wanachostahili.
Mtu mweupe akiingia anga zangu lazima "nimpige".
Kwanini??
 
Wengi wanachukulia uzungu kama ndio maisha na kila mzungu ana pesa au yupo bora kwa kiasi flani. Na hii tulaumu na hizi historia tunazofundishwa darasani maana zinatutengeneza kujiona kama victims au wanyonge flani hivi na wao kama ndo wenye akili na ubora zaidi
wapo waafrika ambao hawajazisoma hizo historia still wako na hiyo shida!

hilo tatizo ni zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom