Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

Naomba kujua hili.

Wanawapelekesha ,

Wanawatumikisha

Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini , yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana .

Hata dada mweupe watu wanamuhanya .

Huwa shida nini?? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho .
CCM inatupelekesha left, right, down, up, ni wazungu?
 
Walahi nimeona ofisi kibao ndio maana nikatoa post
Magufuli alikuwa anatukana mawaziri pumbavu na walikuwa hawathubutu kufanya chochote. Magufuli alikuwa akitaja jina la kiongozi yoyote wakati wakiwa kwenye mikutano ni lazima huyo aliyetajwa jina atasimama na kuinama kwa heshima kama anaabudu. Ninachotaka kukuambia ni kuwa sisi watu weusi mtu yoyote ambaye ametuzidi fedha au cheo huwa ''tunamwabudu''. Hili pengine linatokana na mazingira ya umaskini tunayokulia. Kuhusu wazungu: mwafrika akigundua mzungu ni fukara au hana cheo, basi atamwita ''mzungu koko'' na wala hatamwogopa. Conclusion: anachoogopa mtu mweusi ni fedha au cheo na siyo rangi.
 
Aisee kumbe ni wenye hela tu
 
Back
Top Bottom