Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

More love less ego๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
After the VMA's my baby momma cussed my ass out I kicked her ass, we back friends like Puffy and Steve Stoute Cut the grass around my clique, so I could see these snakes
You see 'em back in the hood, it's 'cause I see they're fake
I preach a sermon 'bout the paper like I'm Creflo Dollar I pop you punk niggas like I pop my collar I'm confused, I like Megan, Monica and Mya Missy's freaky and Brandy's shy, uh
Screenshot_20230824-194737.png

Nakula mawe yangu tu hapa mzee
 
View attachment 2727546

Nakula mawe yangu tu hapa mzee
Nime penda verse๐Ÿ˜
 
Naomba kujua hili.

Wanawapelekesha ,

Wanawatumikisha

Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.

Hata dada mweupe watu wanamuhanya.

Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
Huo ni mtazamo wako...au aina ya uwaonao...
 
Naomba kujua hili.

Wanawapelekesha ,

Wanawatumikisha

Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.

Hata dada mweupe watu wanamuhanya.

Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
Sababu kubwa ni imani ya dini. Mtu tangu akiwa mtoto mdogo anampigia magoti Mungu wa kizungu, Yesu mzungu, mama wa Yesu mzungu, malaika wazungu, watakatifu wote wazungu. Tangu watoto tunajengewa fikra mzungu ndio superior race kwetu.
 
Dini imesababisha akili zetu ziwaheshimu weupe kuliko tunavyojiheshimu.
 
Wengi wanachukulia uzungu kama ndio maisha na kila mzungu ana pesa au yupo bora kwa kiasi flani. Na hii tulaumu na hizi historia tunazofundishwa darasani maana zinatutengeneza kujiona kama victims au wanyonge flani hivi na wao kama ndo wenye akili na ubora zaidi
Kumbe
 
Jiulize kwanza na hili Swali ukilijibu ndio tutamalizia kwa Mzungu Kwanini na nyie Wanawake wa Siku hizi mnaogopa Mimba kuliko Magonjwa?
 
Back
Top Bottom