Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
Sema kuwa we unawaogopa na sio waafrika kama ulivyosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwaogopa au kujiona dhaifu mnyonge mbele ya mzungu,Hii hutokea bila hata mhusika kuamua, subconsciously,mtu mweusi amefanywa mtumwa,ukaja ukoloni, sasa hv kuna ukoloni Mambo Leo kwa miaka zaidi ya 200+, hii ina madhara kwenye Saikolojia, ukielimishwa, hii, Hari hupotea,Naomba kujua hili.
Wanawapelekesha ,
Wanawatumikisha
Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.
Hata dada mweupe watu wanamuhanya.
Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.