Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

CCM inatupelekesha left, right, down, up, ni wazungu?
 
Walahi nimeona ofisi kibao ndio maana nikatoa post
Magufuli alikuwa anatukana mawaziri pumbavu na walikuwa hawathubutu kufanya chochote. Magufuli alikuwa akitaja jina la kiongozi yoyote wakati wakiwa kwenye mikutano ni lazima huyo aliyetajwa jina atasimama na kuinama kwa heshima kama anaabudu. Ninachotaka kukuambia ni kuwa sisi watu weusi mtu yoyote ambaye ametuzidi fedha au cheo huwa ''tunamwabudu''. Hili pengine linatokana na mazingira ya umaskini tunayokulia. Kuhusu wazungu: mwafrika akigundua mzungu ni fukara au hana cheo, basi atamwita ''mzungu koko'' na wala hatamwogopa. Conclusion: anachoogopa mtu mweusi ni fedha au cheo na siyo rangi.
 
Aisee kumbe ni wenye hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…