Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #41
Tukalichape hadi kazimie yaani it's only solutionπ π π Intelligent businessman jichagulie adhabu
π π π π nije namfuta ya alizeti au tuna mubanikaTukalige hadi kazimie yaani it's only solution
More love less egoπ€£π π π Intelligent businessman jichagulie adhabu
Aisee ngojaa nimwite Sam whiteππ€£π π π π nije namfuta ya alizeti au tuna mubanika
π π π π muwe wawili ili tuwakaange vizuriAisee ngojaa nimwite Sam whiteππ€£
π π πMore love less egoπ€£
Nime penda verseππ π π
After the VMA's my baby momma cussed my ass out I kicked her ass, we back friends like Puffy and Steve Stoute Cut the grass around my clique, so I could see these snakes
You see 'em back in the hood, it's 'cause I see they're fake
I preach a sermon 'bout the paper like I'm Creflo Dollar I pop you punk niggas like I pop my collar I'm confused, I like Megan, Monica and Mya Missy's freaky and Brandy's shy, uh
View attachment 2727546
Nakula mawe yangu tu hapa mzee
Huo ni mtazamo wako...au aina ya uwaonao...Naomba kujua hili.
Wanawapelekesha ,
Wanawatumikisha
Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.
Hata dada mweupe watu wanamuhanya.
Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
Umeelewa posti yangu??Sijawahi kuona mzungu anamyanyasa muafrika. Waarabu na wahindi ndio wanyanyasaji haswa.
Shuleni english ndio halikuwepo so ongea kiswhili vyemaMore love less egoπ€£
Njoo Niku jegejeeπ€πIntelligent businessman saa 6 juu ya alam tunakuja kukuchapa kichapo utashangaa mwenyewe
Sababu kubwa ni imani ya dini. Mtu tangu akiwa mtoto mdogo anampigia magoti Mungu wa kizungu, Yesu mzungu, mama wa Yesu mzungu, malaika wazungu, watakatifu wote wazungu. Tangu watoto tunajengewa fikra mzungu ndio superior race kwetu.Naomba kujua hili.
Wanawapelekesha ,
Wanawatumikisha
Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana.
Hata dada mweupe watu wanamuhanya.
Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
KumbeWengi wanachukulia uzungu kama ndio maisha na kila mzungu ana pesa au yupo bora kwa kiasi flani. Na hii tulaumu na hizi historia tunazofundishwa darasani maana zinatutengeneza kujiona kama victims au wanyonge flani hivi na wao kama ndo wenye akili na ubora zaidi