Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..
Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.
Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?
Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy
Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?
Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!
Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.
Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.