Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Mimi naonaga majitu mnene kama hayajielewi kabisa. Yanaona prestige kumbe yamebeba ugonjwa tu, unakuta jitu lina furaha na linaona sifa kuwa na kitambi
ukiwaambia habari ya kubalansi kula ili kupunguza unene wanaona unawakataza kufakamia kula watakavyo. Hawa kutoboa miaka 60 na huo unene ni shughuli pevu
 
Huku mtaani wadau wana vitambi vinaning'inia, sasa kila ninakopita naulizwa mbona wenzio wananenepa lakini wewe huongezeki, una mawazo au haukuli?!

Nikienda nyumbani nako kila mtu anauliza hivyo, wakati mimi nakomaa nisiongezeke
Tumi hata Chart GPT umwambie rate y obesity in US, then Rudi tujadili
Nilibahatika kukaa na wajerumani kwa mwaka mmoja, ukikutana na mtu ukamwambia amenenepa ni sawa na unavomwambia mbongo "umepungua! Ulikua unaumwa au?".. yaani hawapendi na hawataki kabisa kusikia.. wanakua offended kabisa na mwengine unaweza kumkosesha mood siku nzima.

Walishangaa sana kuona content yngu ya chakula ilivyokua huge, iliyotawaliwa na wanga.

Mwanamke mwengine anaweza akakataa kabisa ku date na ww sababu tu hufanyi mazoezi mana tayari mna different lifestyle.
Huku mtaani wadau wana vitambi vinaning'inia, sasa kila ninakopita naulizwa mbona wenzio wananenepa lakini wewe huongezeki, una mawazo au haukuli?!

Nikienda nyumbani nako kila mtu anauliza hivyo, wakati mimi nakomaa nisiongezeke
Ni kweli Waafrika kama wanaona kuwa na kitambi ni kitu positive kuliko kutokuwa nacho kwa sababu zamani kwa Africa mtu kupata mlo mara tatu kwa siku ni shida, so mtu aliyenenepa au mwenye watoto walionenepa anaonekana mambo safi kwa sababu huyo anaweza kumudu Milo mitatu kwa siku na hafanyi kazi ngumu kama kulima, ujenzi, kubeba mizigo au kutembea sana kwa sababu ana gari au pikipiki, japo mambo yanabadilika sasa hivi, awareness inaongezeka na watu wanafanya mazoezi
 
ukiwaambia habari ya kubalansi kula ili kupunguza unene wanaona unawakataza kufakamia kula watakavyo. Hawa kutoboa miaka 60 na huo unene ni shughuli pevu
Ndo maana wazungu huwa wanayadharau maana wanajua kabisa ni majitu yasiyo na discipline
 
Sio lishe tu, maana Africa is rich of natural food... Mimi nahisi ni over eating ndo inatusumbua. Tunakula in bulk sana na hatuchomi fat
kuna wazungu walikuja kijiji kimoja hapa kwa shughuli zao ikiwemo michezo. Wenyeji wao wakawaandalia wali/pilau kwa wingi, host wao akawaambia hawa huwa hawali chakula kingi waandalieni matunda matunda na biskuti na maji, hili pilau watakula waafrika. Waholanzi wakaja na vyakula vyao kwenye vibegi vyao wakawa wanakula taratibu huku waafrika tukila pilau letu tukijaziwa sahani mlima huo unamaliza na unaongeza tena mpaka tumbo likakamae.
 
Kuna mabosi wanataabika kwa unene wao, wanalazimika weekend kufanya mazoezi ya kutembea kwa miguu umbali mrefu wakiamini kufanya hivyo watatokwa jasho na unenene wao utapungua! Wengine huenda gym kutokwa jasho huko. Hawana shughuli nzito za kufanya miili yao itumie calories nyingi kubalansi sukari na mafuta miilini mwao kutokana mitindo ya maisha wanayoishi. Mtu anaingia ofisini na kukaa kushikashika kalamu halafu anaingia garini na hana nidhamu ya kula na kunywa, amefutuka mwili
 
Tumi hata Chart GPT umwambie rate y obesity in US, then Rudi tujadili
Hata huko Marekani watu weusi ndio wanaongoza kuwa na obesity.

Mleta mada Yuko sahihi kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20260922-083426.png
    Screenshot_20260922-083426.png
    135.5 KB · Views: 11
kuna wazungu walikuja kijiji kimoja hapa kwa shughuli zao ikiwemo michezo. Wenyeji wao wakawaandalia wali/pilau kwa wingi, host wao akawaambia hawa huwa hawali chakula kingi waandalieni matunda matunda na biskuti na maji, hili pilau watakula waafrika. Waholanzi wakaja na vyakula vyao kwenye vibegi vyao wakawa wanakula taratibu huku waafrika tukila pilau letu tukijaziwa sahani mlima huo unamaliza na unaongeza tena mpaka tumbo likakamae.
Kula sana nayo ni form ya ujinga. Maana unakuwa hauko aware ya intake unayoingiza mwilini
 
Kuna mabosi wanataabika kwa unene wao, wanalazimika weekend kufanya mazoezi ya kutembea kwa miguu umbali mrefu wakiamini kufanya hivyo watatokwa jasho na unenene wao utapungua! Wengine huenda gym kutokwa jasho huko. Hawana shughuli nzito za kufanya miili yao itumie calories nyingi kubalansi sukari na mafuta miilini mwao kutokana mitindo ya maisha wanayoishi. Mtu anaingia ofisini na kukaa kushikashika kalamu halafu anaingia garini na hana nidhamu ya kula na kunywa, amefutuka mwili
Kweli kabisa.
 
Mitaa ya uswahilini vitambi ni heshima.
Ukifanya mazoezi ili kupunguza mwili wanaambizana eti unakonda, huenda una maradhi.
Majuzi nilikuwa Tukuyu, watu wa huko wana miili mikubwa mno, wake kwa waume wote wamejazia miili yao kwa kula kula ovyo ndizi, viazi na kitimoto nk
Nadhani ni moja ya wilaya iliothiliwa kwa kuwa na watu wenye miili mikubwa
 
Mkuu unamchukia mtu kwa kula Tu wakati humununulii Chakula? Na luf mtakula wote uwe mnene au mwembamba kifo hakichgui
 
Kila mtu aishi maisha yake yanayomfurahisha yeye mstake kuwapangia watu waishi vile nyinyi mnavyotaka
 
Mkuu unamchukia mtu kwa kula Tu wakati humununulii Chakula? Na luf mtakula wote uwe mnene au mwembamba kifo hakichgui
Hatuchukii watu na hatuna sababu ya kumpangia mtu mlo wake.
Tunashauriana ili kupunguza magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Fikiria kutokana na tabia yetu ya kula kula ovyo hata serikali sasa imefuta utaratibu wa "matibabu bure".
Watu wanakula ovyo kama Viwavi wakizalisha magonjwa wanakimbilia hospitali kupata huduma za bure.
Kweli kila mtu aishi maisha yake lakini lazima kushauriana
 
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..

Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
View attachment 3675293View attachment 3675294View attachment 3675296

Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.
View attachment 3675297
Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?

Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy
View attachment 3675298

Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?

Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!

Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.

Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.
Napenda unene huu nilio nao Nina kilo 85

Zinanitosha afya ipo
 
Hatuchukii watu na hatuna sababu ya kumpangia mtu mlo wake.
Tunashauriana ili kupunguza magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Fikiria kutokana na tabia yetu ya kula kula ovyo hata serikali sasa imefuta utaratibu wa "matibabu bure".
Watu wanakula ovyo kama Viwavi wakizalisha magonjwa wanakimbilia hospitali kupata huduma za bure.
Kweli kila mtu aishi maisha yake lakini lazima kushauriana
Kusema watu wanakula ovyo ovyo wamekuwa Nguruwe?
 
Mitaa ya uswahilini vitambi ni heshima.
Ukifanya mazoezi ili kupunguza mwili wanaambizana eti unakonda, huenda una maradhi.
Majuzi nilikuwa Tukuyu, watu wa huko wana miili mikubwa mno, wake kwa waume wote wamejazia miili yao kwa kula kula ovyo ndizi, viazi na kitimoto nk
Nadhani ni moja ya wilaya iliothiliwa kwa kuwa na watu wenye miili mikubwa
Watu wanaona fahari kuwa na miili kama viboko
 
Back
Top Bottom