Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Kwakweli wanakula kula ovyo mithili ya nguruwe, maana utakuta mtu amejaza vyakula vya wanga, sukari na mafuta mafuta.
Hata hivyo Mkuu kuwa na amani, heshimu kitambi chako😂😂😂, usijali stori za jf
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
 
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
Mkuu Bush Dokta kama nimeongea lugha ya kuudhi samahani sana.
Sina nia ya kukwaza watu hapa
 
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..

Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
View attachment 3675293View attachment 3675294View attachment 3675296

Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.
View attachment 3675297
Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?

Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy
View attachment 3675298

Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?

Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!

Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.

Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.

Kwa jamii yoyote yenye umasikini uliokidhiri, Kupata milo mitatu AU kula fast food huonekana ni fahari (maendeleo)
Ila uchumi ukianza kutengemaa, ndio mtu anakuwa na nafasi ya kufikiri ale nini
KWA HIYO SUALA LA UNENE SIO LA WAAFRIKA BALI NI UMASIKINI. HATA HUKO ULAYA NA MAREKANI JAMII ZA WATU WENGI WA NENE KUPITILIZA NI ZILE MASIKINI ZINAZOISHI KWA KULA FAST FOOD
UCHUMI WA FAMILIA UNAVYO ENDELEA KUIMARIKA WATU HUANZA KUANGALIA NINI WALE NA NINI WASILE.
 
Kwa jamii yoyote yenye umasikini uliokidhiri, Kupata milo mitatu AU kula fast food huonekana ni fahari (maendeleo)
Ila uchumi ukianza kutengemaa, ndio mtu anakuwa na nafasi ya kufikiri ale nini
KWA HIYO SUALA LA UNENE SIO WAAFRIKA BALI NI UMASIKINI
UCHUMI UNAVYO ENDELEA KUKUA MAMBO YANABADILIKA
Japani na Marekani umeme hakuna kwa sababu kuna maendeleo sana
 
Ni kweli Waafrika kama wanaona kuwa na kitambi ni kitu positive kuliko kutokuwa nacho kwa sababu zamani kwa Africa mtu kupata mlo mara tatu kwa siku ni shida, so mtu aliyenenepa au mwenye watoto walionenepa anaonekana mambo safi kwa sababu huyo anaweza kumudu Milo mitatu kwa siku na hafanyi kazi ngumu kama kulima, ujenzi, kubeba mizigo au kutembea sana kwa sababu ana gari au pikipiki, japo mambo yanabadilika sasa hivi, awareness inaongezeka na watu wanafanya mazoezi
Facts
 
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
Ignorant mindset haitajusaidia kama unaona sio faida kwako kwa wengine ni faida
 
Kwa jamii yoyote yenye umasikini uliokidhiri, Kupata milo mitatu AU kula fast food huonekana ni fahari (maendeleo)
Ila uchumi ukianza kutengemaa, ndio mtu anakuwa na nafasi ya kufikiri ale nini
KWA HIYO SUALA LA UNENE SIO LA WAAFRIKA BALI NI UMASIKINI. HATA HUKO ULAYA NA MAREKANI JAMII ZA WATU WENGI WA NENE KUPITILIZA NI ZILE MASIKINI ZINAZOISHI KWA KULA FAST FOOD
UCHUMI WA FAMILIA UNAVYO ENDELEA KUIMARIKA WATU HUANZA KUANGALIA NINI WALE NA NINI WASILE.
Sahihi kabisa mkuu, umaskini uko linked na bad food choices
 
Mi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
 
UMASIKINI ndio unafanya waafrika waone unene ni utajiri. Kula kula sana mara baada ya kupata vijisenti, yes vijisenti watu wenye pesa madolari hawali hovyo hovyo kama kuku na kunenepeana kama tembo.
 
Back
Top Bottom