Endelea na usijali wamneno Potosi wa binadamu wasio na uelewaHuku mtaani wadau wana vitambi vinaning'inia, sasa kila ninakopita naulizwa mbona wenzio wananenepa lakini wewe huongezeki, una mawazo au haukuli?!
Nikienda nyumbani nako kila mtu anauliza hivyo, wakati mimi nakomaa nisiongezeke
Ndo maana siku hizi siendeshwi na vitu vya kijinga katika jamii..Mwanaume unakuwaje na tumbo kubwa kitambi kama mama mjamzito
li mutu lina kg 100+ linaona sifa tu tena mademu zetu wanavyopenda vitambi wanasema eti mwanaume vitambi wana pesa na afya!!
Mimi naonaga majitu mnene kama hayajielewi kabisa. Yanaona prestige kumbe yamebeba ugonjwa tu, unakuta jitu lina furaha na linaona sifa kuwa na kitambiBongo ukiambiwa mbona siku hizi umekonda hivyo, ulikuwa unaumwa? unajisikia vibaya, ila ukiambiwa siku hizi umenenepa, unajisikia vizuri
Eti na wanajeshi nao wana obesity😂😂Kuna picha ya wanajeshi wanamichezo naangalia, ni wanene balaa! Mtu anakuwa ni mwanajeshi halafu anakuwa mnene hii si ni aibu? Mwanajeshi unatakiwa uwe na mwili portable hata kama ni giant usiwe mnene utashindwa kukimbiza vibaka