Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Wicknell chivayo
Sasa utaje mji specifically badala ya kuhusisha Tanzania nzimaInategemea na maeneo njoo maeneo ya mjini ujionee
OKAY ASANTE KWA TAARIFAYaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..
Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
View attachment 3675293View attachment 3675294View attachment 3675296
Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.
View attachment 3675297
Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?
Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy
View attachment 3675298
Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?
Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!
Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.
Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.
Ni tajiri yupi mnene nchi hii, MO ni mnene? Bakhresa ni mnene? Umewahi kumwona Shabiby? Na je Abood umemwona, Rostam Azizi je? Unajiabisha we kapuku, hakuna tajiri mnene, wanene sahv ni wapiga debe! Umejionesha we ni fukara kapukuYaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..
Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
View attachment 3675293View attachment 3675294View attachment 3675296
Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.
View attachment 3675297
Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?
Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy
View attachment 3675298
Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?
Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!
Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.
Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.
Mimi mke wangu anapenda ninenepe lakini mimi sìtaki no sipendi niwe kibongeMwanaume unakuwaje na tumbo kubwa kitambi kama mama mjamzito
li mutu lina kg 100+ linaona sifa tu tena mademu zetu wanavyopenda vitambi wanasema eti mwanaume wenye vitambi wana pesa na afya!!
hao wana streesss serikali haitabiriki ni matajiri au wamnehifadhi hela za wezi serikalini?Ni tajiri yupi mnene nchi hii, MO ni mnene? Bakhresa ni mnene? Umewahi kumwona Shabiby? Na je Abood umemwona, Rostam Azizi je? Unajiabisha we kapuku, hakuna tajiri mnene, wanene sahv ni wapiga debe! Umejionesha we ni fukara kapuku
Ukirudi kijijini mwembamba watakuona wewe hauna pesa lakini ukiwa mnene hata kama huna chochote utaonekana wewe unapesa nyingi sana.
wanene na ulaji wa 071 ni pete na kidole emb tueleze ulioruka naoMi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
Kila mtu aishi anavyopenda.
Nenda Moshi ukaone vifriji siyo wanawake siyo wanaume.
Watu kule wana pesa na wanakula na kunywa kwa raha zao.
Ukikosa kitambi unaonekana ww huna maana ila sasa kua bonge nyanya kaa bar utaitwa kila jina 😀
ninavyojua malaria inadunda au kuchelewa au kudhoofishwa sana na mtu mnene kuliko mwembamba.Waafrika ukinenepa kama wewe sio maarufu ni ishara ya mafanikio