Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..

Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,


Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders.

Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo waafrika ndo chanzo cha haya yote?

Maana kwa wenzetu mtu anaye jali afya na mazoezi anakuwa considered disciplined na healthy


Je ni kwamba waafrika tunautamaduni mbaya na misconception Kuhusiana na nini ni afya?

Maana unakuta watu wazima kabisa wanakaa kitako kujadili mtu, anahela ila hana kitambi na anacheka as if kitambi ndio status!

Je ni lini wamatumbi wataamka na kuanza kuona huu mtazamo hasi? Kuwa na kitambi ni ugonjwa, maana fat nikiwa nyingi mwishoni blood pressure inapungua unakaribia magonjwa.

Unene sio fashion, ndugu zangu jihurumieni.
 

Attachments

  • badc41af549edb32d3638054cb3af8e9cb42729c=w700.webp
    57.1 KB · Views: 14
Tumi hata Chart GPT umwambie rate y obesity in US, then Rudi tujadili
 
Nilibahatika kukaa na wajerumani kwa mwaka mmoja, ukikutana na mtu ukamwambia amenenepa ni sawa na unavomwambia mbongo "umepungua! Ulikua unaumwa au?".. yaani hawapendi na hawataki kabisa kusikia.. wanakua offended kabisa na mwengine unaweza kumkosesha mood siku nzima.

Walishangaa sana kuona content yngu ya chakula ilivyokua huge, iliyotawaliwa na wanga.

Mwanamke mwengine anaweza akakataa kabisa ku date na ww sababu tu hufanyi mazoezi mana tayari mna different lifestyle.
 
Kuna clip moja mtu kidogo accomit suicide huko china sijui Marekani ila ni mchina. Kisa alitaniwa shuleni kuwa ni "fat" infact waliomwambia walikuwa ni waafrika ndo walikuwa wakidhani wamempa compliment kumbe ilikuwa ni tusi baya sana kwa culture yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…