Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Sidhani kama tatizo la obesity Tanzania ni kubwa. Mbona mitaani naona Watanzania wengi wapo tu in good shape
Inategemea na maeneo njoo maeneo ya mjini ujionee
 
OKAY ASANTE KWA TAARIFA
 
Ni tajiri yupi mnene nchi hii, MO ni mnene? Bakhresa ni mnene? Umewahi kumwona Shabiby? Na je Abood umemwona, Rostam Azizi je? Unajiabisha we kapuku, hakuna tajiri mnene, wanene sahv ni wapiga debe! Umejionesha we ni fukara kapuku
 
Mwanaume unakuwaje na tumbo kubwa kitambi kama mama mjamzito
li mutu lina kg 100+ linaona sifa tu tena mademu zetu wanavyopenda vitambi wanasema eti mwanaume wenye vitambi wana pesa na afya!!
Mimi mke wangu anapenda ninenepe lakini mimi sìtaki no sipendi niwe kibonge
 
Unakuta jitu lina mkitambi mkubwa kama pipa ila watu wanalisifia eti ni litajiri
 
Ni tajiri yupi mnene nchi hii, MO ni mnene? Bakhresa ni mnene? Umewahi kumwona Shabiby? Na je Abood umemwona, Rostam Azizi je? Unajiabisha we kapuku, hakuna tajiri mnene, wanene sahv ni wapiga debe! Umejionesha we ni fukara kapuku
hao wana streesss serikali haitabiriki ni matajiri au wamnehifadhi hela za wezi serikalini?
 
Ukirudi kijijini mwembamba watakuona wewe hauna pesa lakini ukiwa mnene hata kama huna chochote utaonekana wewe unapesa nyingi sana.

Mi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
wanene na ulaji wa 071 ni pete na kidole emb tueleze ulioruka nao
Kila mtu aishi anavyopenda.

Nenda Moshi ukaone vifriji siyo wanawake siyo wanaume.
Watu kule wana pesa na wanakula na kunywa kwa raha zao.

Ukikosa kitambi unaonekana ww huna maana ila sasa kua bonge nyanya kaa bar utaitwa kila jina 😀

Waafrika ukinenepa kama wewe sio maarufu ni ishara ya mafanikio
ninavyojua malaria inadunda au kuchelewa au kudhoofishwa sana na mtu mnene kuliko mwembamba.




faida nyingine mnazijua.

kwenye drought wanaaoanza kufa ni wapi wasio na akiba ya chakula???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…