Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Sehemu kubwa ya Africa tunakula tunachokipata na sio tunachokitaka!!

Kutokana na kutokuwa na uhakika wa milo achilia mbali milo sahihi tunakaa muda mwingi na njaa sio kwa kuwa tuna fast bali hatuna hela ya kula na tukibahatika kupata mlo basi tunakula kabisa.....elewa neno kula kabisa!!


Sehemu nyingi za Africa chakula ni anasa na ulaji wako unaweza ku define nguvu yako kiuchumi kwa kuwa chakula ni sehemu ya starehe na anasa kubwa barani afrika.....

Wa africa wengi tunakula kutokana na ladha ya kile tunachokula na sio manufaa ya kimwili ya kile tunachokula..... uwezo wa kumaliza au kula sana inategemea na taste ya msosi na sio kitu kingine......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…