Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

5de77fc8-b71a-4bf2-977f-acdd86cde3a3.jpeg
 
Waafrika tunakula sana lakini siyo chakula cha afya kwa mwili.

Mfano mtu kila siku ugali na samaki, wali maharage.
Wezungu wengi wana kula sana ila chakula tofautitofauti kilicho na afya
 
Halafu huli tena mpaka unalala?.. Sili sana lakini imani ya kula virutubisho vya muhimu pekee sina, nikila tumbo linatakiwa lihisi tofauti kidogo.
Ule yai na ndizi halafu ulale 😁

Nikila Chips tu usingizi nautafuta Kwa tochi, Sasa itakuwaje nile Yai na ndizi
 
Sehemu kubwa ya Africa tunakula tunachokipata na sio tunachokitaka!!

Kutokana na kutokuwa na uhakika wa milo achilia mbali milo sahihi tunakaa muda mwingi na njaa sio kwa kuwa tuna fast bali hatuna hela ya kula na tukibahatika kupata mlo basi tunakula kabisa.....elewa neno kula kabisa!!

Sehemu nyingi za Africa chakula ni anasa na ulaji wako unaweza ku define nguvu yako kiuchumi kwa kuwa chakula ni sehemu ya starehe na anasa kubwa barani afrika.....

Wa africa wengi tunakula kutokana na ladha ya kile tunachokula na sio manufaa ya kimwili ya kile tunachokula..... uwezo wa kumaliza au kula sana inategemea na taste ya msosi na sio kitu kingine......
Uko sahihi mkuu, afrika tunakula tunachopata, siyo tunachotaka
 
Hakika.Watu wa Ulaya na Amerka hawali mlo mkubwa/mwingi kwa wakati mmoja.Ila,wanakula milo aina mbalimbali kidogokidogo kwa mara nyingi kwa siku.
NB;Mwafrika anakula mlo mkubwa mpaka jasho limtoke ndiyo anapata imani kwamba ameshiba.IKUMBUKWE:Sijawataja wasukuma.
Hiyo kula mara Kwa mara ndio hatari zaidi ya mtu anaekula mara Moja.

Unapokula mara Kwa mara mwili unakuwa kwenye Insulin mode inayoblock kutumia Kwa Stored Fats kama source of energy.

Kwa kifupi mwili wako hautakuja kuchoma mafuta yaliyohifadhiwa kama chanzo cha nishati. Kwasababu mwili utakuwa unatumia primary source of energy ( unachokula) kama nishati.

Ndio maana huko Marekani wanawake wana vitambi na wanaume hususani black Americans wamekuwa kama manguruwe
 
Kwa nini uwafananishe na "manguruwe" na siyo greasy bears?
 
Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Kukosa hamu ya kula ni Tatizo.

Kama mwili upo vizuri ,metabolism ipo sawa kwa vyakula hivi tunavyokula havina shida.

America ndiyo shida ,wanakula Junk foods na si organic ,huku kwetu vyakula tunavyolima ndani havina shida ,shida si kula shida watu hawafanyi mazoezi ,hawajishughulishi ,wanakula chakula ambacho hakitumiki mwilini.
 
Back
Top Bottom