Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Yah! Wale wanaojikatili wakifuata nyayo za Janabi tuwakumbushe tu maradhi yakitaka kuja yanakuja tu aisee.
Ulaji wenu sio wa kawaida aise😁
Mtu anakula nyama choma kg 2 na ugali mwenyewe dah
 
Hujawahi kuona wamarekani wanavyokula. Waafrika wanakula kutokana na kaxi wanazofanya, mtu wa kijijini na mjini wanakula tofauti ni sawa na mbeba zege na mtu wa ofisini.
Waafrica kwenye kula ni next level aise mpaka kipindi fulani niliskia kuna MASHINDANO YA KULA AFRICA
 
Wabongo wengi hawali kwa mpangilio, wanakula hovyo, hata wewe mkuu inawezekana unakula hovyo, mlo unatakiaa kuwa na virutubisho vingi na siyo uzito wa wanga au protini au vitamini pekee. Namba za calories zinatakiwa ziendane na uzito
Sili hovyo mkuu hujaona picha ya menu yangu hapo juu😁
 
Sili hovyo mkuu hujaona picha ya menu yangu hapo juu😁
😃 mkuu una kilo ngapi? Hapo una protini 2g, vitamin+minerals(pottassium) approximately 3g, kwa uzito gani mkuu, au una uzito wa kilo 10?
 
Nimejionea kwa wasukuma tena wanathubutu kuniambia et nakula kichaga ?? Yaan ule ugali wao wa mtama sijui nini unajaaa juu kilima dakika bila mazungumzo mengi sahan nyeupe huyo ni mtu mmoja

Et wanafanya kazi ngumu shamban
 
Back
Top Bottom