Farting boombshelšMimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Ndugu, hayo kwenye bilauri ni mafuta ya alizeti!!??Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
kwasababu wanafanya kazi ngumu zinazotumia nguvu.Kwanini waafrica mnapenda kula sana?
Tunakula sana sababu hatuli.Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
NdioKuna tatizo kwenye kula sana?
Kwa nini watu wa migodini huwa wanakula kimasikini sana ??View attachment 3696740inategemea na unafanya kazi gani, huwezi niambia upo huku alafu ule vidude vya namna hiyo, utafia duarani
Christian Ronaldo ni mmoja ya Athletic wazuri kupata kutokea, yupo fit ila hali ugali mlima, hizi ni kamba tu, hata kazi ngumu na kubeba mizigo kunahitaji nutrients bora na sio zigo la chakula, kula ugali mkubwa kama mlima Kilimanjaro kila siku ni kujidanganya, kunakupa confidence ila kiuhalisia mwili unauchosha.kwasababu wanafanya kazi ngumu zinazotumia nguvu.
Labda mwenzetu we fundi saa ila ukimbie km21 ubebe shell ya uzani wa kg 10 alafu ule yai na ndizi mnautani nyinyi.Unakuta jitu linakula msosi mkubwa kama mombešView attachment 3696709
Weka hati yako ya kusafiria tuone umetembea nchi ngapi kufanya huo utafitiMimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Na kwa bongo ulaji wa wanga mwingi uliochakatwa sana, mafuta mengi, protein kidogo, mboga na matunda kidogo ni wa Kiswahili zaidi ukanda wa Pwani šTunakula sana sababu hatuli.
Moja ya sababu zinazofanya ule sana ni kutokula protein ya kutosha, kula refined Carbohydrate nyingi na kutokula vitamin ya kutosha.
Milo mingi ya Africa ugali mlima mboga kisoda, ukimaliza kula carbohydrate inasababisha spike ya sukari kidogo njaa inarudi tena, mwili unataka protein na baadhi ya vitamin na haupati, hivyo inapelekea unakula sana.
Ukibadili lifestyle ukapunguza wingi wa Ugali/Wali ama main dish zetu hizi na kuongeza protein kama Nyama, Maharage na vitamin mbalimbali kama mboga mboga, matunda etc utaona automatic unapunguza ulaji chakula.
Mi sipendi kula sana, ila kwa huu Ubweche lazima nipige plate 2.View attachment 3696712
Bila kula no LIFE
ElezaNdio