The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Unaposema Kula sana unakua una maanisha nini?
Wakila aje ndio wanakua wamekula sana? kwani kiwango/Kipimo cha kula kipoje na kilipangwa na nani mpaka watz wakawa wanakula zaidi ya hicho kiwango kilichowekwa? Kumbuka kua Binadamu hatufanani/hatulingani.