Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Kamfano kadogo, sinia limejaa nyama, kuna masikini na tajiri, nani atakula nyama nyingi? Kumbuka tajiri anakula nyama kila siku ila masikini ni wakati wa sikukuu tu!Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705