Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Pata pesa tujue tabia yako.Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake .
Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana , I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali penye tukio muhimu.
Sasa huu sio ujinga ?
View attachment 2621605
Uwanakijiji umefilisi akili zaoWanaishi maisha kwa kujiumiza kuforce tu
Ova
Mabaunsa wengi wanapindwa siku hiziKazi ya ubaunsa nayo ni kazi ya kifala kweli. Nawaonaga ukiingilia club ukitoka na mchumba wanachukia kishenzi inawezekana hata wiki inayofuata ukazuiliwa mlangoni. Waache wamlinde huyo ndugu, kupanga ni kuchagua
🤣🤣😌Uwanakijiji umefilisi akili zao
Yani hili nalo hakulijua halafu anakimbilia kuita watu wana akili ndogo?Hujui maana ya usanii..Halo anauza tu sura unawakodisha hao per day kwenye events sio kila siku uwe nao labda diamond
Haka nako ni kastaa uchwara wa bongo?Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake
Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali penye tukio muhimu.
Hiya fedha ya kuwalipa hao mabaunsa uchwara, kugharamia suti na vitu vingine isingemsaidia kumpeleka mbali zaidi kwenye kazi zake?
Sasa huu sio ujinga?
View attachment 2621605