Ninja assasin JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 2,512 Reaction score 5,848 May 17, 2023 #21 Ndio vitu waTizi wanapenga sasa je?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 May 17, 2023 #22 Hivi hao jamaa wanalipwa Bei gani? Nataka nikija huko Dar nikodi wawili wanisindikize kariakoo.
melusine8 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 6,299 Reaction score 7,746 May 18, 2023 #23 Mleta mada ni jinamizi la mchana! Huyo amekosea wapi? Sasa ni kwambia hamna mwafrica mjinga kama wewe na family yako Acha kuleta mada za uwivu mwana mlaaniwa!
Mleta mada ni jinamizi la mchana! Huyo amekosea wapi? Sasa ni kwambia hamna mwafrica mjinga kama wewe na family yako Acha kuleta mada za uwivu mwana mlaaniwa!