Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali.
Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu.
Je, kuna siri yoyote iliyopo katika hilo??, au Waliambizana uwe mtindo wao katika kujitambua??
Albert Einstein
Isac newton
Na wengineo Kama Nichola Tesla na Socrates hawa wote walipenda nywele ndefu
Nini maoni yako mdau Da vincci, mtaalamu wa Mambo ya giza Mshana Jr, charismatic fella GENTAMYCINE, mwanazuoni ETUGRUL BEY, na wengineo