Hivi ni kwanini wanasayansi wengi walifuga nywele ndefu?

Hivi ni kwanini wanasayansi wengi walifuga nywele ndefu?

Samahani kaka Mshana Jr Kuna swali linalohusiana na maswala ya nguvu za rohoni hapa.

Hivi uchawi kuiroga nafsi ya mtu upo??,yaani unakuwa unakosa ile nguvu ya ndani ya kimaaumuzi?? Kama ulivyokuwa zamani,

je inaweza kumfanya mtu akose dira au muongozo nafsini mwake??, Yaani yeye yupo yupo tu, japo Kuna mwanga wa kiukozi anauona

Hili Jambo lilinitokea nilipoenda kutembea a sehemu fulani, najiona tofauti Sana, hata kusoma kwangu,kufikiri kwangu, nuru yangu ya ndani inayonitaka kuwa mtu fulani imepotea kabisa??

Nawezaje kujitoa Kama nimefanikiwa kitu hiki au tiba napata wapi?? Nisaidie muongozo [emoji120][emoji120] Mshana Jr
Kitu kinachoitwa uchawi kinadili na roho kwakuwa huko ndio kwenye shina la uhai na mengine yote
Kuna uchawi wa kudili na akili huu ndio ule mtu anachanganyikiwa ama anakuwa mwehu au mwendawazimu

Wewe tatizo lako ni kiroho zaidi umetiwa uzito mwilini mwako huna utayari wa kufanya jambo na umejawa na uzito wa kuchukua maamuzi

Unaweza kujipanga ufanye mambo fulani siku inayofuata lakini kukipambazuka tu kila kitu kinabadilika unakosa morali wa kuendelea na hilo jambo kwa visababu vya kijinga mno na kujikuta unaahirisha

Kwenye ulingo wa ushirikina mtu mwenye shida kama hizo basi kalogezewa kwa kutumia konokono,kobe na kinyonga ... Nywele zinachukuliwa na kufungwa kwenye Kombe la kinyonga..
Mimi si mganga wa kienyeji hivyo ninachoweza kukuelekeza kikakusaidia ni tiba ya chumvi yenye nguvu kubwa kiroho.. Jaribu hiyo itumie itafubaza nguvu hasi iliyo ndani mwako
 
Zamani ilikuwa busara kuwa na nywele ndefu wee muangalie petro midevu kama yote hata yesu na ilikuwa inaonekana kunyoa nywele kama upara ni mkosi na uhuni na pia kama katika static electricity nyewle na chogo ni dalili ya charge zipo na charge ndio akili na ndio maana utasikia akili zako zinacharge yaan zinafanya kazi kwakuwa particle nyingi zinakuwa accumulated na pia zamani saloon hazikuwepo ni sawa useme watu wa zamani walitumia sana barua kupelekeana ujumbe
Mkuu huyu petro ulimuona wapi?
 
Mkuu umeharibu hapo ulimvyo mtag huyo GENTAMYCINE ni mweupe sana kichwani 😀😀😀😀
 
Walikuwa hawana ajira hivyo hawakuwa na hela ya saloon .mtu unawaza kutengeneza ndege wakati watu wanasafiri n'a farasi nani akupe hela
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom