Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali.
Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa??, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu.
Je Kuna Siri yoyote iliyopo katika Hilo??, au Waliambizana uwe mtindo wao katika kujitambua??
Albert EinsteinView attachment 2483658
Isac newtonView attachment 2483660
Na wengineo Kama Nichola Tesla na Socrates hawa wote walipenda nywele ndefu View attachment 2483661
Nini maoni yako mdau Da vincci, mtaalamu wa Mambo ya giza Mshana Jr, charismatic fella GENTAMYCINE, mwanazuoni ETUGRUL BEY, na wengineo
Kila kizazi na fasheni yake. Fasheni huja na kuondoka na nyingine hudumu au kupotea forever kati ya jamii na jamii.
Kipindi hicho gunduzi za kisayansi zikiwa zimepamba moto by coincidence fasheni ya kufuga ndevu kwa wanaume hususan Ulaya ilikuwa imeenea katika jamii pia. Hivyo, wanasayansi kama sehemu ya jamii automatically walizolewa na fasheni hiyo.
Na sio wanasayansi tu, hata viongozi wa dini kuonekana na ndevu ndefu ilikuwa fasheni kama ambavyo katika maeneo mengine kupaka ndevu "hina" ilikuwa bonge la fasheni kwa wanaume.
Hio ni nadharia na si uhalisiaWanasayansi 90% huwa hawaamini uwepo wa mungu
Unajua kwa nn wanawake ndo hujaa kwenye makanisa???Hio ni nadharia na si uhalisia
Waafrica wa asilia wote walikuwa n'a rastaVipi na wanasayans wetu waliovumbua vyungu vya udongo na mizinga ya nyuki je walifuga nywele ndefu na ndevu?
Ilikuwa ni fashion nyakati hizo na malegend had their own things that defined their level and class.Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali.
Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu.
Je, kuna siri yoyote iliyopo katika hilo??, au Waliambizana uwe mtindo wao katika kujitambua??
Albert EinsteinView attachment 2483658
Isac newtonView attachment 2483660
Na wengineo Kama Nichola Tesla na Socrates hawa wote walipenda nywele ndefu View attachment 2483661
Nini maoni yako mdau Da vincci, mtaalamu wa Mambo ya giza Mshana Jr, charismatic fella GENTAMYCINE, mwanazuoni ETUGRUL BEY, na wengineo
Hizo ni story tu za wapinga Mungu wanazopenda kuhadithiana ili kujipa moyoWanasayansi 90% huwa hawaamini uwepo wa mungu
Miaka ya tisini kurudi nyuma tu hapo haikua rahisi kunyoa,watz wengi walikua na nywele nyingi,machanu,Vitana vilikua vitu muhimuIlikuwa ni fashion nyakati hizo na malegend had their own things that defined their level and class.
Kama Yesu alivyofuga..Tuna wavaa kobazi wanafuga madevu sio nywere ndio maana wanaongea sana kumbe akili zipo midomoni